serikali pamoja na vyombo vya habari bila
kusahahu Blogs mbalimbali kukemea tabia
iliyozuka ya wakina dada kupiga picha za utupu
na kuziweka kwenye mitandao ya kijamii.
Hata hivyo imeonekana kuwa sauti za vyombo
hivyo ni sawa na sauti ya muziki kwa mbuzi.
Yaani hata kama muziki ungekuwa mtamu/mzuri
kiasi gani mbuzi hawezi kucheza. Hivyo ndivyo
ilivyo kwa baadhi ya watanzania wenzetu.
UTAMU WA RAHA Imefanikiwa kuzibamba picha
hizo mwanadada aliyefahamika kwa majina ya
Jessica kikumbi. Mwanadada huyo amabaye
amepiga picha hizo zisizo na hata chembe ya
maadili akiwa katika mapozi mbalimbali,
amezimimina picha hizo kwenye ukurasa wake wa
Facebook pasipo na hata aibu wala kufikiria mara
mbilimbili juu ya kile anachokifanya.