Hatimaye Chris Brown karuhusiwa kuondoka Ufilipino… amesema haya kuhusu kuzuiliwa kwake!

Baada ya kuzuiliwa kutoka nchiniUfilipino kwa siku mbili hatimaye Chris Brown kaachiwa huru na kuondoka salama kabisa… msanii huyo ambaye alikuwa mjini Manila kwa ajili ya show alizuiliwa kuondoka siku ya Jumatano kutokana na madai ya kuwa hakutimiza wajibu wake wa kimkataba kipindi cha Mwaka mpya kuingia 2015.

Licha ya kuachiwa huru Chris Brownalichukua time na kupost Twitter kusema hakuhusika na madai hayo na alitimiza wajibu wake wa kimkataba kwani alirudi kutoa show nyingine kufidia show aliyoikosa mwaka mpya.

>>> “Manila mmetisha sana, nawapenda sana…ishu iliyotokea sio ndogo na aliyehusika kufanya hivi inabidi atafutwe, jina langu limetumika na sikufanya CHOCHOTE!!”<<< Chris Brown.

>>> “Sihusiki na hizi tuhuma, nilirudi Manila kufidia show niliyoikosa mwaka mpya..”. <<< Chris Brown.

Chris Brown ana show nyingine jijiniMacau usiku wa July 24 2015 na kwenye video aliyoipost Twitter amewahakikishia mashabiki kuwa atakuwepo Live kwa ajili ya kutoa show hiyo.

Share this post :
https://www.facebook.com/hassani.haji
 
Support : hassani bakari haji | Benjamin Template | hancy classic Template
Copyright © 2016. kidudumtu - All Rights Reserved
Template Created by hassani bakari Published by +255755537543
Proudly powered by Benjamin