Sikiliza ngoma mpya ya Juma Nature akiwa amemshirikisha Lady Jay Dee,
wakongwe wawili katika hii ngoma wakikuambia "Kama Jana" Pia utaweza
kusikia mstari wa Nature akichana kuhusu Dada Mond unataka kuelewa zaidi
nini kipo ndani?! basi bonyea HAPA ku download
Kesi ya Zumaridi yapangiwa hakimu mpya
2 years ago