"Penzi" Quick Rocka Ft. Ben Pol Kutoka hivi karibuni
Quick Rocka anatarajia kuachia wimbo wake mpya utakao tambulika kwa jina la "Penzi"
hivi karibuni, Kwenye wimbo huu Quick amemshirikisha mkali wa RnB Ben
Pol huku track ikiwa imepikwa kutoka studio ya A.M Records.