CHURA YA MPONZA SNURA AFUNGIWA KISANAA

Serikali yatangaza kumfungia msanii Snura kujihusisha na masuala ya sanaa. Wimbo wake wa Chura kutopigwa redioni na kwenye runinga.

Wananchi waonywa kutousambaza wimbo huo kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo WhatsApp.

Wale watakaokiuka agizo hilo watashtakiwa kwa kutumia sheria ya makosa mtandaoni.

Share this post :
https://www.facebook.com/hassani.haji
 
Support : hassani bakari haji | Benjamin Template | hancy classic Template
Copyright © 2016. kidudumtu - All Rights Reserved
Template Created by hassani bakari Published by +255755537543
Proudly powered by Benjamin