Baraza la mitihani Tanzania (NECTA) latangaza matokeo ya kidato cha 6 ambapo ufaulu kwa masomo ya Sayansi umeshuka.
Matokeo ya mwaka huu yameshuka kwa asilimia 0.93 ambapo mwaka 2015 ufaulu ulikuwa asilimia 98.87 na mwaka huu 2016 ni asilimia 97.94
Aidha Watahiniwa 71,551 sawa na asilimia 97.32 ya waliofanya mtihani wamefaulu.
Shule 10 zilizofanya vizuri:
1.Kisimiri,-Arusha
2.Feza Boys,-Dar es Salaam
3.Alliance Girls,-Mwanza
4. Feza Girls,-Dar es Salaam
5. Marian Boys,-Pwani
6.Tabora Boys,-Tabora
7.Kibaha,-Pwani
8.Mzumbe-Morogoro
9.Ilboru,-Arusha
10. Tandahimba-Mtwara
Shule 10 zilizofanya vibaya:
1.Mpendae-Unguja
2.Ben Bella-Unguja
3.Tumekuja-Unguja
4.Green Bird Boys-Kilimanjaro
5.Jang’ombe-Unguja
6.Kiembe Samaki-Unguja
7.Tanzania Adventist-Arusha
8.Al- Ishan Girls-Unguja
9.Azania-Dar es Salaam
10.Lumumba-Unguja