Usiku wa April 30, 2016 watu wangu waGeita nao wameukamilisha mwenzi kwa kutazama burudani ya nguvu kutoka kwa mastaa wawili kutokea WCB Harmonizena nyumba ya vipaji THT Ruby wa hits single ya Forever na nyingine,Burudani imedondoshwa kwenye ukumbi wa Ambassador pale Geita hapa ninazo picha za tukio nakualika kuzitazama.
Harmonize na Crew yake kwenye burudani
Ruby kwenye stage na burudani ya nguvu
Mashabiki kwenye shangwe la burudani ya nguvu
Ruby kwenye burudani ya pamoja na watu wake
Kumbukumbu muhimu, Harmonize na watu wake
Harmonize na Crew yake kazini
Harmonize na watu wake kwenye shangwe