Memphis Depay anaondoka Man United? maamuzi yake haya yanawashangaza wengi

Winga mshambuliaji wa klabu ya Man United ya Uingereza Memphis Depay jina lake limeingia kwenye headlines tena, baada ya kufanya kitendo ambacho huenda kikawa na maana ya kuashiria yeye kuondoka au kukosa furaha ndani yaMan United.

Memphis amewashangaza wengi hususani mashabiki wake wa Man Unitedwanaomfollow katika account yake ya Instagram, baada ya kuona winga huyo kaamua kufuta picha zote katika Instagram yake zinazohusu Man Unitedambazo aliwahi kupost na kubakisha moja akiwa na mpenzi wake pekee.

Memphis katika account yake ya Instagram amefollow watu 11 pamoja na account ya Man United  pekee, kati ya hao hakuna mchezaji mwenzake wa Man United aliyemfollow, kitu ambacho kimeandikwa na mitandao mingi ya Ulaya kuwa huenda winga huyo anataka kuondoka Man United.

Share this post :
https://www.facebook.com/hassani.haji
 
Support : hassani bakari haji | Benjamin Template | hancy classic Template
Copyright © 2016. kidudumtu - All Rights Reserved
Template Created by hassani bakari Published by +255755537543
Proudly powered by Benjamin