Louis van Gaal kasema yeye ni moja ya makocha bora duniani, hizi ndio comment alizokutana nazo

Kocha wa klabu ya Man United ya Uingereza Louis van Gaal huenda ndio akawa kocha ambaye yupo katika wakati mgumu kwa sasa kuliko kocha yoyoteUingereza,  Louis van Gaal  ameongea kauli ambayo imemfanya akumbane na comment nyingi.

Van Gaal amenukuliwa akisema kuwa yeye ni moja kati ya makocha bora duniani, kitu ambacho kimemfanya akumbane na comment nyingi za kumkosoa kutokana na klabu yake yaMan United ipo katika nafasi ya 5 tofauti na ilivyozoeleka kuwa klabu hiyo huwa katika nafasi tatu hadi nne za juu.

Kwa sasa Van Gaal ambaye alisema“mimi ni moja kati ya makocha bora duniani” anaripotiwa kuwa nafasi yake mwisho wa msimu itarithiwa na kocha wa zamani wa Chelsea Jose Mourinho, hivyo kauli ya yeye kujiita bora haikuwapendeza mashabiki wa soka hususani watumiaji wa mtandao wa twitter.


Share this post :
https://www.facebook.com/hassani.haji
 
Support : hassani bakari haji | Benjamin Template | hancy classic Template
Copyright © 2016. kidudumtu - All Rights Reserved
Template Created by hassani bakari Published by +255755537543
Proudly powered by Benjamin